MWAMBA Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Kimbilio langu kimbilio langu Baba
Kimbilio langu kimbilio langu Yesu
Mwamba wa wokovu wangu ngome yangu
Mwamba wa wokovu wangu ngome yangu
Mwamba wa wokovu wangu ngome yangu
Mwamba wa wokovu wangu ngome yangu
Nitakuabudu nitakuinua Baba
Nitakuimbia nitakupa sifa Yesu
Mwamba wa wokovu wangu ngome yangu
Mwamba wa wokovu wangu ngome yangu
Mwamba wa wokovu wangu ngome yangu
Mwamba wa wokovu wangu ngome yangu
Pokea shukrani sifa dhama utukufu
We ulo sikia na kilio changu Yesu
Ukanipa bega lako nililie
Ulinipa bega lako nililie
Mwamba wa wokovu wangu ngome yangu
Mwamba wa wokovu wangu ngome yangu
Kwa mkono wako kanipanguza machozi
Na kwa damu yako ukaosha dhambi zangu
Ulinipa bega lako nilalie
Ulinipa bega lako nilalie
Mwamba wa wokovu wangu ngome yangu
Mwamba wa wokovu wangu ngome yangu
Ewe Bwana Mungu nguvu ya wokovu wangu
Unifunikaye kichwa wakati wa vita
Wote wenye haki wanakushukuru
Na walodhulumiwa unawahifadhi
Wote wenye haki wanakushukuru
Na walodhulumiwa unawahifadhi
Mungu wa Yakobo ewe Mungu wa Isaka
Mungu wa waisiraeli ewe ulio tuokoa
Mwamba wa wokovu wangu ngome yangu
Mwamba wa wokovu wangu ngome yangu
Mwamba wa wokovu wangu ngome yangu
Mwamba wa wokovu wangu ngome yangu
Mwamba wa wokovu wangu ngome yangu
Mwamba wa wokovu wangu ngome yangu
Mwamba wa wokovu wangu ngome yangu
Mwamba wa wokovu wangu ngome yangu