MSINGI Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Wewe ni Mungu wangu
Wewe ni Baba yangu
Wewe ni ngome yangu
Msingi wa wokovu wangu
Wewe ni Mungu wangu
Wewe ni Baba yangu
Wewe ni ngome yangu
Msingi wa wokovu wangu
Nasema Wewe U Mungu wangu
Natangaza U Baba yangu
Ngome hata nguvu zangu
Msingi wa wokovu wangu
Wanijua kwa majina yangu
Hesabu ya nywele pia
Mishipa ya damu mwilini
Msingi wa wokovu wangu
Wewe ni Mungu wangu
Wewe ni Baba yangu
Wewe ni ngome yangu
Msingi wa wokovu wangu
Wewe ni Mungu wangu
Wewe ni Baba yangu
Wewe ni ngome yangu
Msingi wa wokovu wangu
Neema yako yaniwezesha
Kibali chako huniinua
Fadhili zako huniandama
Msingi wa wokovu wangu
Mi bila wewe sina dhamani
Mi bila wewe siwezi jambo
Mi bila Wewe siwezi ishi
Msingi wa wokovu wangu
Wewe ni Mungu wangu
Wewe ni Baba yangu
Wewe ni ngome yangu
Msingi wa wokovu wangu
Wewe ni Mungu wangu
Wewe ni Baba yangu
Wewe ni ngome yangu
Msingi wa wokovu wangu
Mkono wako unanilinda
Macho yako yanitizama
Uwepo wako daima unami
Msingi wa wokovu wangu
Ni salama msingi wangu
Basi maji hayezi nisonga
Moto hautoniangamiza
Msingi wa wokovu wangu
Wewe ni Mungu wangu
Wewe ni Baba yangu
Wewe ni ngome yangu
Msingi wa wokovu wangu
Wewe ni Mungu wangu
Wewe ni Baba yangu
Wewe ni ngome yangu
Msingi wa wokovu wangu
Wewe ni Mungu wangu
Wewe ni Baba yangu
Wewe ni ngome yangu
Msingi wa wokovu wangu
Wewe ni Mungu wangu
Wewe ni Baba yangu
Wewe ni ngome yangu
Msingi wa wokovu wangu
Wewe ni Mungu wangu
Wewe ni Baba yangu
Wewe ni ngome yangu
Msingi wa wokovu wangu
Wewe ni Mungu wangu
Wewe ni Baba yangu
Wewe ni ngome yangu
Msingi wa wokovu wangu