NIPE AMANI (ACOUSTIC) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Eeh Baba yangu naja mbele zako naomba amani
Maana nimeitafuta amani lakini sipati
Nizungukapo na majaribu mbali mbali
Ninakuamini ya kwamba nikikulilia wewe 'tanipa amani
Mali na nyumba na magari makubwa hayana amani
Yananipa kusononeka kwa moyo naomba amani
Nanyenyekea mbele zako Mungu wangu naomba amani
Na sina shaka wewe utanipa nina shauku
Baba utizame moyo wangu nipe amani
Baba utizame moyo wangu nipe amani
Baba utizame moyo wangu nipe amani
Baba utizame moyo wangu nipe amani
Wakati mume amukuwa kigeugeu mama usilie
Maana Yesu hatakugeuka Yeye akupenda
Licha ya uchungu ulonao moyoni mtizame Baba
Mwambie yote utakayo atimize Yeye akujali
Ulezi wa wana hata elimu Yeye atakupa
Omba nguvu piga magoti mama mwambie akupe amani
Baba utizame moyo wangu nipe amani
Baba utizame moyo wangu nipe amani
Baba utizame moyo wangu nipe amani
Baba utizame moyo wangu nipe amani
Eeh mama mjane naelewa unavyohisi moyo unauma
Baada ya mumeo kufa mama huna pa kwenda
Wakwezo wamekufukuza mbali wewe huna nyumba
Marupurupu ya mumeo kazini wataka nyakua
Usilie mama Mungu ayaona naye akujali
Wee piga magoti inua mikono omba Baba amani
Baba utizame moyo wangu nipe amani
Baba utizame moyo wangu nipe amani
Baba utizame moyo wangu nipe amani
Baba utizame moyo wangu nipe amani
Baba utizame moyo wangu nipe amani
Baba utizame moyo wangu nipe amani
Baba utizame moyo wangu nipe amani
Baba utizame moyo wangu nipe amani
Baba utizame moyo wangu nipe amani
Baba utizame moyo wangu nipe amani
Baba utizame moyo wangu nipe amani
Baba utizame moyo wangu nipe amani