Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2024

Lyrics

Imani imani imani ni cheti changu cha kupata yote

Imani imani imani ni cheti changu cha kupata yote

Asante eeh Mungu wangu ninakushukuru

Kwa maana umenipa neema ya imani

Japo mi huonekana ni kama mjinga

Ninapo waambia wengi ninayo imani

Imani imani imani ni cheti changu cha kupata yote

Imani imani imani ni cheti changu cha kupata yote

Usije kajiuliza imani ni nini

Ni kutarajia mambo yasowezekana

Wengi kanivunja moyo hayawezekani

Kupitia kwa imani Baba katimiza

Imani imani imani ni cheti changu cha kupata yote

Imani imani imani ni cheti changu cha kupata yote

Wengi watakucheka hata wakusimange

Kama Peninnah alivyomsimanga Hannah

Muigize Hannah usilie bila imani

Mungu ni mwaminifu atakupa uombacho

Imani imani imani ni cheti changu cha kupata yote

Imani imani imani ni cheti changu cha kupata yote

Imani imani imani ni cheti changu cha kupata yote

Imani imani imani ni cheti changu cha kupata yote

Mungu atakuheshimu kwa imani yako

Maana wenye imani ni wanyenyekevu

Alimuheshimu Ibrahimu kwa imani

Chochote unacho omba atakitimiza

Imani imani imani ni cheti changu cha kupata yote

Imani imani imani ni cheti changu cha kupata yote

Imani imani imani ni cheti changu cha kupata yote

Imani imani imani ni cheti changu cha kupata yote

Hiyo imani hiyo imani

Wee huna mwana wee zidisha imani

Ndoa yaishia inaporomoka zidisha imani

Mungu ataisimamisha hiyo imani

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status