Uta Dead ft. Dj Tarico & G Nako Lyrics
- Genre:Amapiano
- Year of Release:2024
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Uta Dead ft. Dj Tarico & G Nako - Jux
...
ishu
wozaaa!!
eeh! Mungu wangu amerudi tena
zoombie!!!
deadly
badmann
waraaa!!
nikifanikiwaa ww haupendi
kwa sasa Nina katoyo je nikipata Range
we utakufa!! ushamwagaradhi ushavunja Nazi wenzako kijikuu Cha mtume mjomba mbona unakazi
we utadead!!
Kuna nyingi changamoto
kichwa kimepata moto
na bado unateseka
eti jux atapata lini mtoto
wee utakufaa!!
tuimbe ya kwanza
(oya wanangu eeh !!)
tuimbe ya pili
(oya wanangu eeh!!)
wenzako wanarudisha chupa
wewe unataka lipa bili
wenye chuki wasio tupenda wape salamu
hao wanafki wasio tupenda wape salamu
Hi ! how are you
byeee
Hi ! how are you
byeee
wee utakufaa
wee utakufaa
aah wewe uta deady
wee utakufaa
wee utakufaa
wee utakufaa
aah wee uta deady
..........
(G Nako)
wee umbea ukizidi
staki ushahidi
maconnection yako staki umjui mwanangu Gigi
eeh bwana noma
kula ngoma
wanakuita zee la