Nipe Neno Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Nipe neno la uzima e mwokozi yesu,
Liniongoze njiani, mimi nipate kuangazia watu
Nao wapate mwona yesu.
Neno hilo lenye uzima,
Liangaze mioyoni mwetu sisi,
Neno litutakasalo latuweka huru ili tupate kutakasika,
Neno la mungu hilo litufundishe,
Kuenenda kama wana wa mungu,
Tutakaswe,ili pale tutendapo hata tunenapo,
watu wapate kumwona mungu
Nipe neno la uzima e mwokozi yesu,
Linisafishe moyoni,
Mimi nipate kuwa na ujasiri wa kuhubiri neno lako.
Neno hilo lenye uzima,
Liangaze mioyoni mwetu sisi,
Neno litutakasalo latuweka huru ili tupate kutakasika,
Neno la mungu hilo litufundishe,
Kuenenda kama wana wa mungu,
Tutakaswe,ili pale tutendapo hata tunenapo,
watu wapate kumwona mungu.
Nipe neno la uzima e mwokozi yesu
Liniongoze njiani, mimi nipate kuwa na tumaini
La kuingia mbinguni.