Soma Neno Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Umejaza ya dunia moyoni,
Hata moyo usiyasahau kamwe,
Na yamekuongoza zaidi,
Kutanga mbali naye Yesu,
Lile neno lake Mungu hulisomi,
Unadhani Muda bado mwingi,
Na siku nazo zaenda mbio ndugu,
Neno la mungu haulisomi.
Muda unakuja utakapo tafuta,
lile neno lake mungu usilione,
Pale,kutapokuwa na njaa kubwa
Njaa ile ya neno la mungu,
Hebu rafiki soma neno lake muumba,
Lile neno lake mungu likuongoze,
Unakuja Muda wa giza nene,
Neno hilo liwe ni taa yako ya milele.
Ni mengi sana yanakutatiza,
Na huwezi kuyaelezea kwao,
Wale wasiomjua Mwokozi,
Ili nao wapate mwanga,
Hapo ni neno bado lapatikana,
Hali ya injili inapoa,
Je itakuaje pale hilo neno,
La mungu litapo adimika.
Muda unakuja utakapo tafuta,
lile neno lake mungu usilione,
Pale,kutapokuwa na njaa kubwa
Njaa ile ya neno la mungu,
Hebu rafiki soma neno lake muumba,
Lile neno lake mungu likuongoze,
Unakuja Muda wa giza nene,
Neno hilo liwe ni taa yako ya milele.