Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2023

Lyrics

Nani aliye na hekima na ufahamu kati yenu,

Na aonyeshe kazi zake kwa mwenendo wake mzuri,

Katika upole tena wa hekima lakini mkiwa na wivu wenye uchungu na ugomvi mioyoni mwenu,

Msijisifu wala kusema uongo juu ya kweli


Hekima hiyo sio hekima ishukayo kutoka mbinguni bali ni ya dunia,

Tabia ya kibinadamu naye mwovu shetani,maana,

Hapo palipo wivu na ugomvi ndipo palipo machafuko,

Na kila tendo,kila tendo,kila tendo baya.


Lakini hekima itokayo juu kwanza ni safi tena ya amani,

Ya upole tayari kusikiliza maneno yao watu,

Imejaa rehema na matunda mema haina fitina,

Na tunda la haki hupandwa kwa amani na wafanyao amani.


Hekima hiyo sio hekima ishukayo kutoka mbinguni bali ni ya dunia,

Tabia ya kibinadamu naye mwovu shetani,maana,

Hapo palipo wivu na ugomvi ndipo palipo machafuko,

Na kila tendo,kila tendo,kila tendo baya.

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status