Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2023

Lyrics

Ni mwaminifu mungu wetu ni mwenye nguvu,

Hayumo kwa wafu ameshinda kifo,

Ushindi mkubwa kwa mwana wa adamu,

Kwa kifo chake tumepata ukombozi,

Anyenyekae kutazama mbinguni,

Atapata uzima milele,

Atakuinua mnyonge kutoka mavumbini,

Akuketishe na wakuu


Twenende kwa njia zake,

Tusimtafute kwa wafu kwani yesu amefufuka,

Mtafute aliye hai,

Utoke miongoni mwa wafu akusafi,

Hatuna budi kutangaza,

Wema wake ulimwenguni,

Mataifa wasikie neno hili la ukombozi


Linda imani usimame kidete mpendwa,

Kwani wokovu umehakikishwa,

Toka kwa wafu uje kwa yesu kristo,

Aongoze mienendo na mawazo yako,

Uwe chumvi na mwanga kwa walimwengu,

Kama vinondo wavute kwa yesu,

Arudipo mwenye nuru uwe kwenye kundi lile,

Kwenye meza ile ya kifalme


Twenende kwa njia zake,

Tusimtafute kwa wafu kwani yesu amefufuka,

Mtafute aliye hai,

Utoke miongoni mwa wafu akusafi,

Hatuna budi kutangaza,

Wema wake ulimwenguni,

Mataifa wasikie neno hili la ukombozi

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status