Yumba ft. Harmonize Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Yumba, eeh, Yumba
Yaani Darassa na KondeBoy, Yumba
255 Champion boy, Classic
Yumba, Yumba
Aga nikiwind my beiby
Jipinde pinde kama kama nyoka
Pinda mgongo unibebe
Nisije nikadondoka
Ooh nah nah nah nah
Njiani napita pita samahani sister
Macho kama unaniiita yamekolea shisha
Mwaga mapicha picha yasambae Insta
Yaani kesho kukicha jana kama vita
Suruali pale viatu kule
Usilale lale kaa mkao tule
Njoo tukufunze kozi ambazo huwezi kupewa shule
Njoo nikutunze baby huwezi kufanya kazi ya bure
Ukiwa na King agiza tu utaletewa
Ukiwa queen kwenye joto utapepewa
Jiongeze jiongeze nishanogewa
Napenda kuyumba yumba nishalewa
Nasema baby apo kati, baby apo kati
Ata mabubu wanatoaga sauti
Baby apo kati, baby apo kati
Hata jambazi sugu linapigaga saluti
I say Stop
Twende taratibu kama unasinzia
Yumba Yumba
Akiwa karibu unamkumbatia
Yumba Yumba
Eeeh twende taratibu kama unasinzia
Yumba Yumba
And I say, Yumba
Aliyekaribu unakamatia
Yumba Yumba
And I say, Yumba
Oooh nah nah nah nah
Funga funga mishikaki
Funga no paki
Rhumba takitaki
Dole gumba hapi
Yumba juu, nyumba chini
Yumba katikati
Yumba yumba mwili kama
Umelegea nati
Samahani namba unayopiga haipatikani
Kama umepoteza uliza Google watakupa ramani
Kama una chuki ota mbawa upae angani
Au pasua ardhi uingie ukae ndani
Bado nawagongea gongo
Nakomalia mchongo, nawashushia vigongo
Umevalia usongo
Wa mangoma msondo, eeeh eeh uongo
Anajua Mungu mwenye mbingu ardhi na udongo
Mzee kasema sesema
Gosha mperampera
Nambeba Sanchoka
Na nyuma kashafunga tela
Nasema baby apo kati, baby apo kati
Ata mabubu wanatoaga sauti
Baby apo kati, baby apo kati
Hata jambazi sugu linapigaga saluti
I say Stop
Twende taratibu kama unasinzia
Yumba Yumba
Akiwa karibu unamkumbatia
Yumba Yumba
Eeeh twende taratibu kama unasinzia
Yumba Yumba
And I say, Yumba
Aliyekaribu unakamatia
Yumba Yumba
And I say, Yumba
Oooh nah nah nah nah
Oooh amechanganya kushi na nyagi
Kalewa wamembeba, Anatokaje
Alijifanya mjuaji kumbe mimba haikwepi leba
Aaah itakuwaje
Akaagiza agiza mama totoro
Nisha agiza agiza chumba godoro
Naitandiza nyumba mpaka tomorrow
I say Stop
Twende taratibu kama unasinzia
Yumba
Oh my God, it’s better sound