Utaniua (Special) Lyrics
- Genre:Country
- Year of Release:2023
Lyrics
Utaniua (Special) - Zuchu
...
.......
Eyo tran
Ety la la la lalalala lalalalala
Lalalalallalaahh
Nnahamu mwenzenu nnahamu kuyahadithia
Ooh Nnahamu tena Nnahamu kuyasimulia
Utanii kama utani tulianza kimasihara
Sikudhani Sikudhani yatafikia Mahala
Akiwa hapatikani hapaliki sijalala
Kanifanya kitu Gani mbona imekuwa mara
Dua la kuku limenipata mwewe walahi ninyi ni Mtihan
Ata makosa afanye yeye mm ndo NAOMBA Samahan
Ona anacheka kama mazuri
Anajua kabsa amenteka kwake sina shuhuli
Ety kumwacha naanzaje sa kusepa natoa wapi jeuri
NA Kwenye koma kaeka nukta kanitia na kufuli
Weewe utaniua niua
Weewe utaniua niua
Weewe utaniua Niua
Weewe utaniua Niua
..........
tukikosa stuli Ni sunna kula kwenye mkeka
Unijue vizuri nkinuna mie ndo nnadeka
Usije dhani kiburi uniache nkaja kuchekwa
Babe raha ya shuhuli mkunwa awe na heka heka
Oooh usichikipenda ww chunga Na Mie usinifanyie
Mgomba wangu mwenyew ety ndiZ Ni gombanie
Nipe penzi nilewe niyumbe nizimie Ooh ringa
Kwangu uko.mwenyew kiboko yangu mie Ooh vimba.
Ona anacheka kama mazuri
Anajua kabsa amenteka kwake sina shuhuli
Ety kumwacha Nnanzaje sa kusepa natoa wap jeur
Na Kwenye koma kaeka nukta kanitia na kufuli
Weewe utaniua niua
Weewe utaniua niua
Weewe utaniua niua
Weewe utaniua niua
...........