Naringa Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Naringa - Zuchu
...
Sioni aibu
Kwa kila linalo nifika
Maana kukosea ni wajibu
Mola ameshaa andika
Na sianguukia
Mimi nimechaguliwa
Nnae mtegemea hachoki
Hajawahi kupitiwa
Mnavyotuma viniuwe ndo vinanikuza
Vinanipa ujasiri, na kuwa gado kamili
Ukitaka kunidhulumia upite kwake kwanza
Mungu wangu halali anaulinzi mkali
Na ndio maana naringa, naringa, naringa
Nalindwa na mungu msinione navimba na vimba na lindwa na mungu
Na ubaya wa ubinafsi hajaumbiwa nyumbu nyumbu wala mtu mwenye mali kweli mabaya sikosi nayajua mazuri yangu mtayasema nikifa eeh
Unaniona na pambana
Kwa tabu na dhoruba nilinde virago vya walimwengu visinifike ng'o utadhani wao hawana
Umewapa vikubwa ili hiki kidogo changu kinawatoa roho eti
Nasianguuki mimi nimechaguliwa aaaah nnaemtegemea hachoki hajawahi kupitiwa ...,