Kwikwi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Kwikwi - Zuchu
...
Zuchu - Kwikwi lyrics
Rakata ×3
Rekete ×3
Rikiti ×3
Rukutu
Hedi kudo,
Umeduso
Ilivyolonga inakwangua makoko
Haiombi chudo
Ona nitakufa
Wasunami najaribu tandiko
Aweeee banaaaaa
Kukwikwikwi nitalia
Kukwikwikwi ukiniachilia
Kukwikwikwi nitalia
Kukwikwikwi soko unavyonipatia
(Oh my Gud oh! I'm crazy for you) ×4
Rakata ×3
Rekete ×3
Rikiti ×3
Rukutu rukutu
Rakata ×3
Rekete ×3
Rikiti ×3
Rukutu rukutu
Tena uzikumbuke ahadi
Zile ulizonigea
Mapenzi vita wee ndo Gadi
Vipi utanitetea
Usiruhusu wadakaji
Wakaanza kukuzoea
Unawajua mafisadi
watapata chakunisemea
Akili itazunguka zunguka
Zungukua zunguka
Itazunguka
Ukiniacha mwenzako
Maana nitaumbuka umbuka
Umbuka umbuka
Nitaumbuka
Yote kwa ajiri yako
Kukwikwikwi nitalia
Kukwikwikwi ukiniachilia
Kukwikwikwi nitalia
Kukwikwikwi soko unavyonipatia
(Oh my Gud oh! I'm crazy for you) ×4
Rakata ×3
Rekete ×3
Rikiti ×3
Rukutu rukutu
Rakata ×3
Rekete ×3
Rikiti ×3
Rukutu rukutu