Wana Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Wana - Zuchu
...
hunywi maji yakapita mi nikuguna hushafika jina gani hujaniita beeby ushauri utaki kabisa eti uniache nina visa vya firauni na musa viiingi nikilala naota kama unaniita nafumba macho navuta shuka naona napumbazika unishikapo ndipo hapo nafarijikaaa mambo yako mahaba yako ndio maana natononoka weee (chorus ) wana wana wana wana pale tulipokutana mikono tukapeana macho yakatizamana wana wana wana wana pale tulipokutana namaba kubadilishana nafsi kukubaliana haaaaa (verse 2) nzi kidonda ni uvio wahenga walisema maradhi yaweza yasiwe na dawa kwa penzi ya kapona rabiii amenipa nusura jeuri sina tena we ndo ngazi amenimaliza hasira si humwi wakisema nidekeze niliwaze washushuke wanyamaze nikinuna nibembeleze usinipepee nipulize watuone washituke roho ziwaume minipike ule chote unenepee upendezee (chorus) wana wana wana wana pale tulipokutana mikono tukapeana macho yakatizamana wana wana wana wana namba kubadilishana nafsi kukubaliana haaaa aaaaaah mmmmh ukitaka uniweze unibebe wewe ukipenda unibimbe nikumbatie hata watu watuone wakahadithiee nitambulishe niringe niwavimbie ukitaka uniweze unibebe wewe ukipenda unibimbe nikumbatie hata laizer atauone aka hadithiee nitambulishe nitambe niwavimbiee wasafi