Agano Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Agano - Christina Shusho
...
..
ufanye imara Agano×2 eeh bwana eeh bwana
ufanye imara Agano×2 eeh bwana
mfanya hima la agano na mi eeh bwana
ufanye imara Agano×2 (eeh bwana eeh Yesu)
tangulie bwana tengeneza palipo paruzwa ooh bwana nisaidie
ufanye imara Agano ×2 eeh Bwana
kama ulivyotembea nami, tembea na Wana wa wanangu,
kama ulivyonibariki, bariki na uzao wangu
kama ulivyo nilinda, ulinde na Taifa langu
kama ulivyonisimamia, simamia kazi za mikono yangu
ufanye imara Agano×2 eeh bwana
ufanye imara Agano ×2 eeh bwana eeh Yesu
vunja vunja pande milango ya shaba
ufanye imara Agano×2
kama ulivyoniongoza, ongoza na Kanisa lako
Kama ulivyoniponya, uponye na nyumba yangu
kama ulivyoniinua, inua na uzao wangu
wasiabudu Miungu mingine ila Mungu mmoja Jehova. wasitafute nguvu kwingine isipokuwa kwao tu,
ufanye imara Agano ×2
ufanye imara Agano ×2 Baba. Baba Yesu
nipe hazina za gizani na Mali zilizofichwa
ufanye imara Agano ×2 .eeh bwana
nikwetaye Kwa Jina lako
Mungu wa Israel
ufanye imara Agano×2