Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2021

Lyrics

Mifupa Mikavu - Christina Shusho

...

Ezekiel akiwa katika Roho

Bwana akamweka chini

Katika bonde nalo limejaa mifupa

Kamwambia Ezekiel Je mifupa yaweza kuishi!?

Naye akajibu, Ee Bwana wajua wewe!

Bwana akamwambia tabiri juu ya mifupa hii

Enyi mifupa lisikie neno la Bwana

Mifupa mikavu (eee)

Nakutabiria (Aaa)

Kwa Jina la Yesu uwe hai tena

Mifupa mikavu (eee)

Nakutabiria (haa)

Kwa Jina la Yesu uwe hai tena

Tabiri kwa upepo na mwili

Roho wa Mungu aiweke dhahiri

Kwa wana damu waliona chakavu

Kwa Mungu aliona jeshi moja shupavu

Kuna wengi wetu tunapambana ng'ang'ana

Maisha yetu ngumu zaidi ya janga

But hiyo tu ni is a our current condition,

Position yetu in Christ, more than victorious

Help thee, wealth thee and righteous

Maandiko imesema sisi warithi wa mfalme

Hautakufa utaishi

Na kusimulia wema wa Bwana

Mifupa mikavu (eee)

Nakutabiria (haa)

Kwa Jina la Yesu uwe hai tena

Mifupa mikavu (eee)

Nakutabiria (haa)

Kwa Jina la Yesu uwe hai tena

Natabiri juu ya Afya yako

Natabiri juu ya kazi yako

Vilivyokufa

Viwe hai viwe haitena

Natabiria ndoa yako

Natabiria Watoto wako

Vilivyokufa Viwe hai

Viwe hai tena

Hautakufa utaishi

Uyasimulie mema ya Bwana

Vilivyokufa viwe hai

Viwe hai tena

Mifupa mikavu (eee)

Nakutabiria (haa)

Kwa Jina la Yesu uwe hai tena

Mifupa mikavu (eee)

Nakutabiria (haa)

Kwa Jina la Yesu uwe hai tena

Mifupa mikavu (eee)

Nakutabiria (haa)

Kwa Jina la Yesu uwe hai tena

Mifupa mikavu (eee)

Nakutabiria (haa)

Kwa Jina la Yesu uwe hai tena

"" "" ""

Mifupa mikavu

Nakutabiria

Mifupa mikavu Afrika

Uwe hai tena

Mifupa mikavu

Nakutabiria

Kwa Jina la Yesu Tanzania uwe hai tena!

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status