Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2021

Lyrics

Relax - Christina Shusho

...

yeeeaaah yeah yeeeah. . .

oh relax oh relax

weeeh. ..

bwana atanibariki kwa kadri ya utajiri wake

kwa kipimo Cha kujaa kusukwasukwa ata kumwagika

atanipa nahitaji yangu kwa kadri ya utajiri wake

Nani apinge alichosema Mungu,

Nani alaani alichobariki Mungu,

hakuna awezaye kuzuia alichotenda Mungu,

na Kama kunapando lilopandwa na mwovu,

nang'oa, pando la mwovu me nang'oa

Kila andiko landikwa kwa hila nafuta

andiko la hila me nafuta

na Kama kunapando lilopandwa na mwovu,

nang'oa, pando la mwovu me nang'oa

Kila andiko landikwa kwa hila nafuta

andiko la hila me nafuta

imeandikwa nitakuwa kichwa so mkia,

wa kwanza so wa mwisho,

bwana atanibariki kwa kadri ya utajiri wake

kwa kipimo Cha kujaa kusukwasukwa ata kumwagika

atanipa nahitaji yangu kwa kadri ya utajiri wake

kwa kipimo Cha kujaa kusukwasukwa ata kumwagika

bwana atanibariki kwa kadri ya utajiri wake

kwa kipimo Cha kujaa kusukwasukwa ata kumwagika

atanipa nahitaji yangu kwa kadri ya utajiri wake

kwa kipimo Cha kujaa kusukwasukwa ata kumwagika

me narelax narelax oooh

(narelax narelax)

me narelax narelax oooh

mwenyewe amesema

me narelax narelax oooh

atanipa utajiri wake

me narelax narelax oooh

atanilisha Kama ndege angani

me narelax narelax oooh

(narelax narelax)

atanipamba Kama ua kondeni

me narelax narelax oooh

(narelax narelax)

yesu akisema atafanya

me narelax narelax oooh

(narelax narelax)

neno lake Ni amina na kweli

me narelax narelax oooh

(narelax narelax)

bwana atanibariki kwa kadri ya utajiri wake

kwa kipimo Cha kujaa kusukwasukwa ata kumwagika

atanipa nahitaji yangu kwa kadri ya utajiri wake

kwa kipimo Cha kujaa kusukwasukwa ata kumwagika

bwana atanibariki kwa kadri ya utajiri wake

kwa kipimo Cha kujaa kusukwasukwa ata kumwagika

atanipa nahitaji yangu kwa kadri ya utajiri wake

kwa kipimo Cha kujaa kusukwasukwa ata kumwagika

nangoja atimize leo

me narelax narelax oooh

(narelax narelax)

nangoja atimize leo

me narelax narelax oooh

(narelax narelax)

hiiii.... huuuu....

me narelax narelax oooh

(narelax narelax)

we wewe hooo.. yesu wee

me narelax narelax oooh

(narelax narelax)

yeeeeeeeeeee.....

me narelax narelax oooh

(narelax narelax)

hi ya wow wow wooo....

me narelax narelax oooh

(narelax narelax)

yesu weeee. ...

me narelax narelax oooh

(narelax narelax)

me narelax narelax oooh

(narelax narelax)

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status