Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2017

Lyrics

Christina Shusho - Nipe Macho - Christina Shusho

...

Eh Bwana nahitaji macho ya roho

Maana haya ya mwili yananidanganya

Iko njia ionekanayo sawa machoni pa mtu

Lakini Mwisho wake, ni njia za mauti

Neno lako linasema

Jicho langu likiwa sawa

Mwili wangu wote utakuwa na roho

Nipe macho

Nipe macho nione, macho eh eh, nipe macho nione sawasawa.

Nipe macho nione, macho eh eh, nipe macho nione sawasawa.

Nipe macho nione, macho eh eh, nipe macho nione sawasawa.

Nipe macho nione, macho eh eh, nipe macho nione sawasawa.

Nisaaidie macho ya ndani, Nione kama uonavyo wewe,

Nisaidie macho ya ndani, Nione mitego ya mwovu,

Nimekukimbilia wewe Bwana, Ili nikae salama,

Nipe macho nione, Sawasawa,

Mara nyingi watu watazama nje,

Lakini wewe waona ndani,

Kwa nje mtu huonekana mwema, kumbe ndani ni hatari,

Mwaka huu Bwana nataka nione ili nikae salama,

Nipe macho nione, sawasawa.

Nipe macho nione, macho eh eh, nipe macho nione sawasawa.

Nipe macho nione, macho eh eh, nipe macho nione sawasawa.

Nipe macho nione, macho eh eh, nipe macho nione sawasawa.

Nipe macho nione, macho eh eh, nipe macho nione sawasawa.

Nipe macho nione,

Kama alivyoona Stephano,

Katika mazingira magumu,

Akamwona Yesu amesimama mkono wa kiume wa Mungu Baba

Nipe macho

Nimuone Muitaji

Nipe macho nione unavyo ona Yesu

Macho yangu yanaona nimevaa, Kumbe waniona mtupu,

Mara najiona ni tajiri, Kumbe waniona ni masikini,

Mara nyingine macho yanipa haki, Kumbe waniona mkosaji,

Nipe macho nione, Sawasawa,

Macho yangu yanaonaa nina nguvu, Kumbe waniona mnyonge,

Tena najina na busara, Kumbe waniona mjinga,

Macho yangu yaona ya usoni, Wewe waona mwisho kabla ya mwanzo.

Nipe macho nione

Nipe macho nione, macho eh eh, nipe macho nione sawasawa.

Nipe macho nione, macho eh eh, nipe macho nione sawasawa.

Nipe macho nione, macho eh eh, nipe macho nione sawasawa.

Nipe macho nione, macho eh eh, nipe macho nione sawasawa.

Nipe Macho eeh

Nipe Macho eeh

Nipe macho nione, macho eh eh, nipe macho nione sawasawa.

Nipe macho nione, macho eh eh, nipe macho nione sawasawa.

Nipe macho nione, macho eh eh, nipe macho nione sawasawa.

Nipe macho nione, macho eh eh, nipe macho nione sawasawa

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status