Mungu Akiwa Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2017
Lyrics
Christina Shusho - Mungu Akiwa - Christina Shusho
...
Mungu akiwa upande wetu
Ni nani aliye juu yetu
Mungu akiwa upande wetu
NI nani aliye juu yetu
Mungu akiwa upande wetu
Ni nani aliye juu yetu
Mungu akiwa upande wetu
Ni nani aliye juu yetu
Watenda mabaya waliponikaribia
Wanile nyama yangu
Watesi wangu na adui zangu
Walijikwaa wakaanguka
Jeshi lijapojipanga kupigana nami
Moyo wangu hautaogopa
Maana Mungu yu upande wangu
Mungu akiwa upande wetu
Ni nani aliye juu yetu
Mungu akiwa upande wetu
Ni nani aliye juu yetu
Mungu akiwa upande wetu
Ni nani aliye juu yetu
Mungu akiwa upande wetu
Ni nani aliye juu yetu
Usiogope mpendwa, maana aliye ndani yako ni makuu Sana
Inuka Ee shujaa ukaujenge ukuta wa Bwana
Haleluya
Mimi ni shujaa
Najua nitashinda
Mateso yatakwisha
Machozi nitafutwa
Na taji nitavikwa
Mungu akiwa upande wetu
Ni nani aliye juu yetu
Mungu akiwa upande wetu
Ni nani aliye juu yetu
Mungu akiwa upande wetu, ni nani aliye juu yetu
Haleluya
Mungu akiwa upande wetu, ni nani aliye juu yetu!
Kila silaha itakayofanyika kinyume nasi
Haitafanikiwa
Na kila ulimi utakaoinuka juu yetu
Hautafanikiwa
Mungu akiwa upande wetu
Ni nani aliye juu yetu
"" "" ""