Jinadi ft. Country Wizzy Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Jinadi ft. Country Wizzy - Malkia Karen
...
Nidekeze nipate raha duniani
Nidekeze nijilimwase na mimi
Nichombeze nikorezege chumbani
Nilambishe nipate utamu wa sukari
Nikiwa nawee
Mi nataka uninogeshe utam wa karanga mdomoni
Nitakupa na kachori za kwa azizi mtongani
Biriani kwa sele bonge ni bebe
Vingunguti na kiembe mbuzi tutembee
Mi nataka nijinadi (jinadi)
Kwako baba nijinadi (jinadi)
Nipe yote nijinadi (jinadi)
Mi nataka nijinadi (jinadi)
Waite wenzako tufanye sherehe
Leo nataka wajue mi niko na we we
Baby is you you you you the one i love
Baby is you you you you the one i love
Leo tujiweke wazi watuone (jeje)
Wasotupenda wakome (jeje)
Kuanzia leo you're not lonely
Leo tujiweke wazi watuone
Wasotupenda wakome
Kuanzia leo you're not lonely
You my baby
Leo ndo ile siku nakuvisha na shera
Leo naachana na usela
Baby you know me better
Mi ndo bonge la bwana halafu go gether
Yani kwakifupi naacha kusizi
Yani kwanzia leo mazee niko busy
Mana mama yenu kashaweka ulinzi
So am busy
Mi nataka uninogeshe utam wa karanga mdomoni
Nitakupa na kachori za kwa azizi mtongani
Biriani kwa sele bonge ni bebe
Vingunguti na kiembe mbuzi tutembee
Mi nataka nijinadi (jinadi)
Kwako baba nijinadi (jinadi)
Nipe yote nijinadi (jinadi)
Mi nataka nijinadi (jinadi)