Happy Birthday Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Happy Birthday - Malkia Karen
...
leon cku yako y afurah twazd kkukuombea dua naona muda ume wadiaa kata keki tuleee n mapoto tusha kupuliziaa n mauaa tukumwagieeee......(hongera kwa kutimizaa miaka kadhaa hatujajaa 2 kiholelaa zawadi kedekede tumekuandaliaa)....x2....
happy birthday)×3
happy birthday to you
tumekusanyika na umati kwa pamoja tuje kusgerehekea na kaimati tumekuandalia mpaka kamati ya maji kuja kukumwagia
hongeraa kwa kutimiza miaka kadhaa hatujajaa tu kiholela zawadi kedekede tumekuandalia