
Tunapendezana
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Tunapendezana - Yammi
...
mmmh aaaah mmh acha nikubembelezeee kwa ushairi na utenzi ahsante mwalimu mwalimu wa mapenzi sogea nikunong'onezee neno nzuri la mapenzi kukuacha ni sumuu labda apange mwenyezi nyoyo zetuu zimeshikamana babaa umeziba ufaa kasoro zetu twavumiliaa twatenganishwa na kufa kati yetu dozali hakuna umenichepachepa mimi ooh baby oooh tumependezaa tunapendezanaaa aaah tumependezanaa tunapendezaa tumependezanaa aaah tumependezanaaa mmmh mmh aaah mmmh hata kama wakisema una machafu mengi siyaoni nimekwama shimo la mapenzi mi kwako nishatulizanaa kung'oka siwezi mimi oooh oooh nyoyo zetu zimeshikamana babaa umeziba ufaa kasoro zetu tuvumiliane twatenganishwa na kufa si kati yetu dosari hakuna baby umenichepachepa mimi ooooh baby oooh tumependeza tunapendezana aaaah aaah tumependezanaaa tumependezaa tunapendezana aaaah tumependezanaa
Similar Songs
More from Yammi
Listen to Yammi Tunapendezana MP3 song. Tunapendezana song from album Three Hearts is released in 2023. The duration of song is 00:02:45. The song is sung by Yammi.
Related Tags: Tunapendezana, Tunapendezana song, Tunapendezana MP3 song, Tunapendezana MP3, download Tunapendezana song, Tunapendezana song, Three Hearts Tunapendezana song, Tunapendezana song by Yammi, Tunapendezana song download, download Tunapendezana MP3 song
Comments (195)
Top Comments (2)
kiibinda
Rommy jstar
love it
New Comments(195)
Salma Hassan6jzc5
nice
anii wewe achaa, I love you
Nice Jerry
If you have moneypoint Bank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Instant loading.. I have a direct access log now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for the job 2/4/7 Don't give me small children access bank don't give new account within 30 minutes time the job is done +2349166580100
goldackyzumba
dada huyu anajua tumpe mauwa yake
Mohamedbyf3u
thanks very much didy yammi endelea kutufurahisha
idivazfrzd
nice song ❤️
Edmond Bettme9f1
nice song yimmi[0x1f618][0x1f618][0x1f618][0x1f618]
bongo glwyz
i love so much yammy[0x1f618][0x1f618][0x1f618][0x1f618]
137811889
[0x1f61b][0x1f61b][0x1f630]
thanks nandy kutuletea hii vocal jamani jamani jamani. hembu tugonge like twende pamoja