
Mimi Ni Nani?
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Mimi Ni Nani? - Roma Mkatoliki
...
Beat.......(tongwe records....!)
Mnaikumbuka ajali ya Mv bukoba
chanzo ni mm nikaua watu 1000
hata nyerere hakufa kwa kansa y damu mnajidanganya na wengi hamjanifahamu nilimua mwalimu huko wingereza... Mv spaic ile ajali nili itengenezaa na hata Lulu ni bure tu mlimfungaa mimi ndo niliee mua marehemu steven kanumbaa..
Kuna muda ikigoma sumu na wapa kisu kipindi niko Dodoma nilitaka kuua Lisu Kila mkoa kila nchi natembea niliendaa Afrika kusini nikamuua Ngwea... Marelia ilimua Langa sietii eeh Kweli hamnijui mimi ndo nimemua yule mwamba... Lusanga,Muheza,Tanga mnaikumbukaa ilee ajali ya Sharo Milioneaa mimi ndo niliepindua ile gari na Mkude nikamuacha avuke Tanga nikamfuata udee udee .. South wakasema si uje na huku umuee na Ruge.... Sikufanyaa ajizi nikamfuataa mchizi.... Je? Nani anaefatia Saiz....!
MIMI NI NANI? ......
Israel mtoa Rohoo... (mimi sio israel mtoa rohoo....)
MIMI NI NANI?........
we Mungu basi.... (Mimi sio Mungu....)
see lyrics >>Similar Songs
More from Roma Mkatoliki
Listen to Roma Mkatoliki Mimi Ni Nani? MP3 song. Mimi Ni Nani? song from album Mimi Ni Nani? is released in 2023. The duration of song is 00:04:04. The song is sung by Roma Mkatoliki.
Related Tags: Mimi Ni Nani?, Mimi Ni Nani? song, Mimi Ni Nani? MP3 song, Mimi Ni Nani? MP3, download Mimi Ni Nani? song, Mimi Ni Nani? song, Mimi Ni Nani? Mimi Ni Nani? song, Mimi Ni Nani? song by Roma Mkatoliki, Mimi Ni Nani? song download, download Mimi Ni Nani? MP3 song
Comments (139)
Top Comments (1)
yonna_ tz
New Comments(139)
Daudi [email protected]
love you my bro I wish kuktan na wew ngom zzako makes me feel proud
Kenyata Likotiko
unaweza bro,mashabiki wa Roma wote tia like hapa
Ramadhani kilua Ramadhan7o58h
wew ni fremason
Ramadhani kilua Ramadhan7o58h
freemason
hairat 7luae
[0x1f641][0x1f641][0x1f641]
Mtzx1ebk
Dah
William Kazimoto
hatujui?[0x1f631]
frankjames j5n54
If you have zenith Bank account or Ecobank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Instant loading .. I have a direct zenith and Ecobank log now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank or Ecobank account.. don't give me new account within 30 minutes time the job is done +2348053432125
Areni Mwasinga
ngoma kari kwer
yaceenxeoq4
kenny rogers through the years
Naombeni like zenu za moto kutoka kwa Roma Mkatoliki tumpe maua yake hii ngoma kali, weka like twende mjini [0x1f63f]