Mama ft. Sholo Mwamba Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Mama ft. Sholo Mwamba - Ferooz
...
Mwanangu kuaaa
Kua uyaoneee
Nasasa nimekuaaa
Na kweli nayaonaaa
Sio magorofa mama kuishi na watu kazi
Ishi uzomewe kufa usifiwe
Nimeyaamini maneno ya watu wa kale
Ishi uzomewe kufa usifiwe
Nimeyaamini maneno ya watu wa kale
Kweli baba kweli baba
Nalia mama nalia mama
Uko wapi mama
Nakutafuta mama
sikuoni mama
Nakulilia mama weee mama
Nakumbuka maneno yako mama
Ulionihusia mama eee
Nayakumbuka mama
Nalia mama
Nalia mama
Uko wapi mama
Nakutafuta mama
Sikuoni mama
Nakulilia mama ee
Ulionihusia mama
Nazingatia mama wee
Iyolele iyo kheri mfadhili mbuzi
Iyolele iyo utakuanywa mchuzii
Iyolele iyo binadam atakuudhi
Iyolele iyo binadam atakuudhi
Iyolele iyo kheri yakufuga bata
Iyolele iyo utakula mayai
Iylelele iyo fadhira ya punda mateke
Iyolele iyo hvo hvi tunaishi nao
Halo we halo tena
Nipee tenaaa
Basi nayamaza kulia we feroz vumilia
Nyamaza kulia we baharia vumili
Kwahyo kaka nyamaza kulia
Na ukilia na mi waniliza
Wanikumbusha ukiwa wa mama mzazi
Nakumbuka mama alituambia
Tuitunze yetu familia
We angekuwepo mama yetu tungeenjoy
Ungekuwepo mama yetu tungeenjoy
We angekuwepo mama yetu tungeenjoy
Ungekuwepo mama yetu ungeenjoy
Basi tunge cheza nawe
Tungeruia nawe
Nalia mama nalia mama
Ukowapi mama nakutafuta mama
Sikuoni mama
Nakulilia mama wee
Ulinihusia mama nazingatia mama wee
Iyolele iyo kheri mfadhili mbuzi
Iyolele iyo utakuanywa mchuzii
Iyolele iyo binadam atakuudhi
Iyolele iyo binadam atakuudhi
Iyolele iyo kheri yakufuga bata
Iyolele iyo utakula mayai
Iylelele iyo fadhira ya punda mateke
Iyolele iyo hvo hvi tunaishi nao
Mwenzetu mwenzetu (kagongwa kagongwa)
Na nini na nini (nagari nagari)
Tumpeleke mzobe mzobe