Fire Acoustic Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Fire Acoustic - Zuchu
...
baby baby me an we in a thousand life times
baby bay me an we in a hundred ways
baby baby me an we in a thousand life time
baby baby me an we in a hundred ways eehh
ohh lala mwenzenu nakuwa chizi
mambo tunayo peana tunayo peana
aahh salala kumbe mapenzi ndo ivi oohh
maana naona nampendelea Sana
BRIDGE
akisikia joto (lala)namuogesha(lala)
namlaza mapajani nampepea vizuri
namrudisha utoto (lala) namnyonyesha (lala)
mkumbwa no kwenu nyinyi kwangu Hana kauli
kwa mapenzi moto
CHORUS
fire fire fire fire ehh fire fire
we no die fire fire eh
my baby nikupe nini
fire fire fire fire eh fire fire ehhh
VERSE 2
Oh nisiongope visifasifa nimevizidisha
mizungu yote hasioijua nimemfundisha
asubuhi sangara tope jioni samaki papa namlisha
shobo zenu nyote mie ndo nimo nimezikatisha
kidege wafikishie salami oohh salami
videge vya far es salaam
nilizunguka Sana opps
mashariki mpaka kusi
nikakutana na wazushi
walioniumiza
mola kanitunuku papuchi
mwana fundin bin nuski
penzi kaeka.bando kifurushi
na hatuto maliza
ohh nisijishaue kwa nini wakati ndo kashakuwa wangu
ntazimaliza yasini mid kupendwa ndo jadi yangu