Twende Sawa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Twende Sawa - Centano
...
.....
Naaaah aah aah eeh
Ooh yani mimi kupendwa na wewe mi naona raha yani mimi
Nacheka pekeangu nikikuwaza hivi umeona nini kwangu ulichokikosa ulikotoka
Unanipa mapenzi napagawa unafanya shetani anatuogopa
Sio kama siamini we wangu nahisi ipo siku utaondoka
Na ndo maana nawivu sipo sawa nivumilie mpenzi usije choka
Aah unanilizaliza unanibembeleza mwenyewe
Unanipuliza hata nikiwa moto napoa (*2)
Twende sawa twende sawa (mmh sawa)
Na sio nakupenda pekeangu kumbe wewe mwenzangu naigiza (*2)
Naigizaa
Mmmh mmh aah
Na kama unavyoyajua mapenzi si ya kulazimishana
Na kama unajijua huyawezi nambie nisijezama
Kama safari yako inaendelea nijue nisijekuzama aah
Maana nakupenda aah kwako akili chenga oyaa
Aah unanilizaliza unanibembeleza mwenyewe
Unanipuliza hata nikiwa moto napoa (*2)
Twende sawa(twende sawa) twende sawa (twende sawa)
Na sio nakupenda pekeangu kumbe wewe mwenzangu naigiza (*2)
Naigizaa
Lyrics by Katoi lee