Fall in love remix ft. Kusah Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2022
Lyrics
Fall in love remix ft. Kusah - Centano
...
Mapenzi shikamoo
Yamenishika huku
Yamenishika Roho.
Yamenikaba Koo
Wanakoma huku vijiba vya Roho
Mh
Kumbe mapenzi sindano
Na mimi puto yamenitoboa
Ya nini mashindano
Na yakizidi yananikomoa
Ilichukua muda kupona
Kabla hata sijakuona
Na nikaapa sitopenda tena
Penda tena
Ila weweee
(Chorus)
Unanifanya nafall
Aaah nafall
Unanifanya nafall in Love
Aah x 2
Baada ya kushuka panda
Penzi lilivunjikaga
Iliniumaga sana aah
Aah aah
Ilichukua muda kupona
Kabla hata sijakuona
Na niliapa sitopenda tena
Penda tena
Ila weweeee
(Chorus)
Unanifanya nafall
Aaah nafall
Unanifanya nafall in Love
Aah x 2