Kiss Me Lyrics
- Genre:R&B
- Year of Release:2022
Lyrics
Kiss Me - Centano
...
KISS ME
by CENTANO
..............................
Nishike kwenye kiuno nishike kwenye bega
oooooooooh baby am so tired today
nikumbate kama mtoto unidekeze ujeeee
cheza na kifua beibe unajua ugonjwa
Wangu dawa ni wewe njoo nipe jotojoto
unibembelezee ujeeee
Mimi nawe kufa kuzikana sidhani
kama tutakuja achana tunapataga tukigombana
inawauma inawauma
aaaaaaah
Mimi nawe kufa kuzikana sidhani
Kama tutakuja achana tunapataga tukigombana
aaaaaaah oooooooooh beibe
Hug me one more time
kiss me two many times
Hug me one more time
Kiss me two many times
uuuuuuuuh lalaaa
(instruments)
oooooooooh lalalala
unavyoshika kichokozo beibe tunda I love
Apple banana
chini ukishuka beibe Oooh My God
yaani lawama aaah
kuna muda wanahitaji pesa
kuna muda anahitaji bembelezwa
kuna muda anataka nikae tu nawe
Japo wale hawapendi
Mimi nawe kufa kuzikana sidhani
kama tutakuja achana tunapataga tukigombana
inawauma inawauma
Mimi nawe kufa kuzikana sidhani
kama tutakuja achana tunapataga tukigombana
aaaaaaah uuuh beibe
hug me one more time
kiss me two many times
hug me one more time
kiss me two many times
uuuuuuuuh lalaaa
(instruments)