Mapenzi au Pesa Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2022
Lyrics
Mapenzi au Pesa - Centano
...
Niko na mawili kwenye kichwa Mapenzi au pesa nasiwezi kupoteza vyote uulala, Hunipi amani unipi pressure acha ntafute pesa nasiwezi kupoteza vyote uuulala uuulala uuulala uulala ulalaa ,... Hello hello hello i know you love me , hello hello hello i know you need me ,Ila tatizo drama , nakujua wakupendwa sana, nakujua wee wa maana unasumbua sana, Hivi ni kitu gani we hupatatii labda sikupi kwa wakati, oh cheza na mwili wangu usicheze na akili, usicheze na hisia zangu usicheze na mimi ,maana mtaji wa masikini nguvu zangu mwenyewe , nguvu zangu mwenyewe .....Sina baba sina mjomba tajirii , nguvu zangu mwenyewe , mwenyewee..,Niko na mawili kwenye kichwa Mapenzi au pesa nasiwezi kupoteza vyote uuulala , Hunipi amani unipi pressure acha ntafute pesa nasiwezi kupoteza vyote uuulala uuulala uuulala uuulala ulalaa , Pesa nayo nini nilikosea mana nanikimbia usiku mchana naiita aitaki kuitikia , vimeumanaa ,tabu sanaa , viungo vimekaza mtajia mkiimya sana , Namuomba usiku mchana mungu aniipe , Na jasho la mnyonge mungu alifute ,natumia akili sana nguvu mda yote si unaona babaa , bless me babaa ...Mtaji wa masikini nguvu zangu mwenyewe ,nguvu zangu mwenyewe ...sina baba sina mjomba tajirii, nguvu zangu mwenyewe mwenyewee...Niko na mawili kwenye kichwa Mapenzi au pesa nasiwezi kupoteza vyote uuulala Hunipi amani unipi pressure acha ntafute pesa nasiwezi kupoteza vyote uuulala uuulala uuulala uuulala ulalaa .