Nakupenda Vibaya Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Nakupenda Vibaya - Centano
...
Kigoma boy pon dis (yeah)
Nikikutazama machoni najiona kabisaa...
Unanivuta unanikiss unaniambia malizaa...
Je nikikupa nafasi moyoni hautaniumizaa...
Uniahidi ni kifo kitatutenganisha (ooh baby)
Nitavuka bahari hata kwa miguu kila siku niwe nawe
Watakutisha kwa magari nyumba za fahari baby usipagawe
Namuombaga Maulana atuongoze usiku na mchana kama tukiachana tukutatane kesho kiama (*2)
Yeah nakupenda vibaya vibaya (yeah)
Nakupenda vibaya vibaya (yeah)
Nakupenda vibaya vibaya (yeah)
Nakupenda vibaya vibaya (yeah)
Mi sina uwezo wa kupenya moyo wako ila najua unanipendaga
Na sina jinsi ya kufungua moyo wangu ningekuonyesha kiasi gani umejaa mama my love (my love)
Oooh just te’mme am the only one (my love)
Oooh the only thing you should be loving
Oooh until the end of time my love aah baby usipagawe
Namuombaga Maulana atuongoze usiku na mchana kama tukiachana tukutatane kesho kiama (*2)
my love
Yeah nakupenda vibaya vibaya (yeah)
Nakupenda vibaya vibaya (yeah)
Nakupenda vibaya vibaya (yeah)
Nakupenda vibaya vibaya (yeah)