Huba Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2022
Lyrics
Huba - Haitham Kim
...
najua ngumu kuuguza kidonda ndugu
ila taratibuuu nitauguza na kitapoa
kwangu ngumu kuuguza panapo suguu
swali sina jibu yanatesa mazoeaa
hivi kweli maneno yamefanya unikimbie
ama kuna kingine labda ungeniambia
nisichoweza mi kufanya nisubiriee
miyo umepoteza rader basi tulia
hivi kweli umesahau ama ndio dharau
umepanda na dau kijani we zambarua
methali we nahau unaniona nyang'au
we hayaaaa
ila mwenzako Badoo