Dubai Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Dubai - Haitham Kim
...
Sio shida zangu mi amenitaka mwenyewe
Si amenishobokea
Sio shida zangu amejileta mwenyewe
Si aliniongopea
Ukinipea nakupea vile tunapeana
Kama Mapacha vile tunafanana
Moyo wangu vile unagongana
Ukija niacha moyo utakupa laana
Habibi Habibi
Welcome to Dubai
Habibi yalla yalla habibi
Welcome to Dubai
Habibi Habibi
Welcome to Dubai
Habibi yalla yalla habibi
Welcome to Dubai
Overdose me your love overdose me
Vile unanikaa rohoni ume ni overdose
Yani ndio maana huniishi kunijia kwenye njozi
Fanya hima unibebe
Masebene Kitandani shoot za umeme
Nawaza niseme ila kanikanya nisiseme
Ukinipea nakupea vile tunapeana
Kama Mapacha vile tunafanana
Moyo wangu vile unagongana
Ukija niacha moyo utakupa laana
Habibi Habibi
Welcome to Dubai
Habibi yalla yalla habibi
Welcome to Dubai
Habibi Habibi
Welcome to Dubai
Habibi yalla yalla habibi
Welcome to Dubai