I Love You Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
I Love You - Haitham Kim
...
ah baby nipende mimi
mwingine ni wa nn
najua ushaniweza aaaah
penzi lisiwe siri
wewe wa kwangu mm
kwako nimeshatawaza aaah
kulala pekeangu mwenyewe mwenzio siwezi
kitanda cha Kwangu mwenyewe usingizi sipati
katu katu mm na ww tupige mkasi
basi sogea karibu tupate marashi
kifuani kwako niwe mie
bila shaka njilalie
ua langu linukie ooooh
basi njoo uwe na mie
pepo yako ya kwangu mie
hâta kidogo tupeane oooh
mm na ww hatuezi faraghana
wenye hila watazidi kuandamana
najua tu hawana mana aaaah
tumependana bado tukiwa vijana
si wa juzi hâta kenda mwaka jana
mi nawe tunaelewana aaah
I LOVE YOU BABY ×2
I LOVE YOU BABY ×2
I LOVE YOU BABY ×2
Baby hatuezi kuachana tuwakomeshe wanaojua gubu
tushaanza fanana wenye majungu kwetu marufuku
tupo mpaka kiama tunawezana utamu wa supu
hâta wenye mjadala na penzi letu watawashwa upupu
my Beibee
my looooove
my beibeee
my loooove
mm na ww hatuezi faraghana
wenye hila watazidi kuandamana
najua tu hawana mana aaah
tumependana bado tukiwa vijana
si wa juzi hâta kenda mwaka jana
mi nawe tunaelewana aaah
I LOVE YOU BABY×2
I LOVE YOU BABY ×2
I LOVE YOU BABY ×2
Lyrics written by
@69.lil Cesar