Pisha Njia Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Pisha Njia - Wanaume Tmk
...
[Intro:]
Yeah, yeah ( Fumu )
Uh-Huh
Fumua, fumua
Pisha usikanyage waya huo
[Chorus: Chege]
Ukisikia shangwe zinapigwa kwa wingi ujue wanaume ndio tunaingia >> Pisha njia!
Usitufate sisi ukiona tunasonga mbele unachotakiwa kufanya 'pisha njia >> Pisha njia

Verse 1:
Ni kama gharika
Ni kama mzuka 'ambao haujawahi kufika
Ni lazima upishe sisi tunatokea Afrika
Usipakaze ubaya wakati hujui ukweli
Na sasa sikia >> Pisha njia
Verse 2:
Wananiita jemedari 'askari wa mashuti ya mbali
(?) akiji miksi napenda kumpa ukweli
Pisha basi nipite' (?) yangu nyeupe
Usisite, usiogope' kama una (?) niguse
Pisha!
Verse 3:
Hatujui 'wangapi wametoka
Wameliacha shoka, sijui' kama nisivyo jua siku yangu ya kufa
Chanzo nini, tatizo nini? sijui kinacho fanya upagawe, uje na watu maskani
Mje tupa na mawe 'mnataka tufe ( Unh )
Tuumie' lakini mungu hataki ( Yeah )
Muuguzi amekufa mgonjwa kabaki, watu wana-cover nafasi
Mpira chini, 'pasi kwa pasi ( Uh Huh )
Mkubwa kasema "Maisha ubishi, wanaume" tuimbe mziki
Yeah,
Hapa kazi sio maneno, ausio?
T.M.K.
[Chorus: Chege]
Ukisikia shangwe zinapigwa kwa wingi ujue wanaume ndio tunaingia >> Pisha njia!
Usitufate sisi ukiona tunasonga mbele unachotakiwa kufanya 'pisha njia >> Pisha njia
Ukisikia shangwe zinapigwa kwa wingi ujue wanaume ndio tunaingia >> Pisha njia!
Usitufate sisi ukiona tunasonga mbele unachotakiwa kufanya 'pisha njia >> Pisha njia
Verse 4:
Nataka kupita 'nipishe niwakilishe
Mkataa pema ujue pabaya pana muita 'lakini yote ni maisha
Life ya uhakika au life ya kubabaisha?
Nchi zenye maendeleo ndizo zinazo chonganisha
Baina ya nchi na nchi 'vikianza vita jama tuta tembea uchi
Utapigaje goose march bila kuvaa buti?
Verse 5:
Kazi yetu ni muziki ( Oh, yoyoyo )
Mistari inakuja tunapoiona bic
Mwanzo mpaka mwisho wa wiki ( Oh, yoyoyo )
Nawaeleza wale mashabiki ( Eh )
Elimisha 'niogope kama ngada
Usisubirie mavuno kulima hauwezi (?) sio shada
(?) kiuhakika njaa kali nimepigika 'sisi wote Tanganyika
Nilitembea kwa miguu 'Temeke mpaka Chuo kikuu alinifuma Venture, utacheka
[Hook:]
Muda wangu umefika aaah
Japo nime taabika aaah
Muda wangu umefika aaah
Japo nime taabika aaah
[Chorus: Chege]
Ukisikia shangwe zinapigwa kwa wingi ujue wanaume ndio tunaingia >> Pisha njia!
Usitufate sisi ukiona tunasonga mbele unachotakiwa kufanya 'pisha njia >> Pisha njia
Ukisikia shangwe zinapigwa kwa wingi ujue wanaume ndio tunaingia >> Pisha njia!
Usitufate sisi ukiona tunasonga mbele unachotakiwa kufanya 'pisha njia >> Pisha njia
[Verse 6: Mh.Temba]
(?) twende tukawajibike 'kama hujipendi kaa mbele
4-4-2' formation ya kujeruhi
4-4-2' lazima mpitie juu, hapa ni ushindi kwenda mbele
Bado hatushikiki juu ya hizi kick japo inatuandama dhiki
Hivi we unaishi ndani unapanga 'labda uwe mwanga we, Unh
[Verse 7:]
Wachovu nawaumiza kila nnapo sikika
Siogopi vikwazo, napita nitakapo
Kwa michapo na mabanzi, michano na mitikasi
Wanadata nnavyo nata 'mi na flow ki hustler
Wachovu nawaumiza sauti yangu inavyo sikika
Rhymes zangu zinawachoma 'style yangu hamuezi kuifata
Mkali wa mashairi, kwa vina hamnipati
Ki akili, ki ukweli hata kwa verse tight
[Chorus: Chege]
Ukisikia shangwe zinapigwa kwa wingi ujue wanaume ndio tunaingia >> Pisha njia!
Usitufate sisi ukiona tunasonga mbele unachotakiwa kufanya 'pisha njia >> Pisha njia
Ukisikia shangwe zinapigwa kwa wingi ujue wanaume ndio tunaingia >> Pisha njia!
Usitufate sisi ukiona tunasonga mbele unachotakiwa kufanya 'pisha njia >> Pisha njia
[Outro: K.R. Mulla]
Yeah
Umeipata, umeipata, umeipata hiyo
Konzi moja manundu elfu kumi, 'kaa vizuri