- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2018
Lyrics
Secreto - Msodoki Young Killer
...
You are my one and only my queen,
This is why I love you because you love me my twin, hata mseme nini hatuskii chochoote, kunpata mimi ndo umewini coupon ya mahaba kama yoote
Yani rlote lote*, hasnasico*, usiweke makope wala uspake mapiko, usfanye chochote mama, ambacho sicho, na, usiende kokote a ah, baki nilipo
Mama umekuja kipindi nahitaji mwenza, kipindi ambacho, umenipa chungwa nkalimenya kama chenza, japo ndo kipindi na uhaba na fedha, ndo kipindi umeuelewa mziki na hujahofia kuucheza
Eeh secreto mi amor (secreto)
Eeh secreto mi a- mi amor
Eeh secreto mi amor (secreto)
Eeh secreto mi a- mi amor
Hah, nipikie kuku kuku, hizi hela nusu nusu za madera zikikukera niambie duku duku
Hali ya hewa inaruhusu, tukikaa tupu tupu ukainama nikaunga tera huku unashika supu supu
see lyrics >>Similar Songs
More from Msodoki Young Killer
Listen to Msodoki Young Killer Secreto MP3 song. Secreto song from album Secreto is released in 2018. The duration of song is 00:02:50. The song is sung by Msodoki Young Killer.
Related Tags: Secreto, Secreto song, Secreto MP3 song, Secreto MP3, download Secreto song, Secreto song, Secreto Secreto song, Secreto song by Msodoki Young Killer, Secreto song download, download Secreto MP3 song
Comments (6)
New Comments(6)
khaled de swaggzz
Nickie Fredy
qali
chasesc8b4
Nice song ukionesha flavour zako tofauti
African_chinga
Makini sana
Baba melissa19
secreto [0x1f60b]
D@ññ!€
cool one
Look At my eyes yana uwianoo Na Weeder. Teamoo teamo...[0x1f601][0x1f601][0x1f601][0x1f604][0x1f604]