Murua Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Murua - Hamisa Mobetto
...
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,moko ah baby nini unachowaza baby sha kupa moyo baby we wa pekeee yangu ,,,,,,,,,,,calenda ya moyo wangu nimekukabidhi wewe kauka nikuvae mparo wangu sina mwingine weh uko nyuma nilishapondaponda moyo wangu na maramia hayaa kilicho size yangu mungu amenishushia usinipeleke kawali penzi sana inapoigiziwa naomba unipeleke taanga mapenzi yalipo zaliwa sasa pumzi nashusha maana mwanzo nilizidiwaa basi nilishe taratibu baby maana nisije kaliwaza ka moyo moyo wangu (tantarara tantarara rararaa ) na enjooy (tantarara rararaa) nimetuliaaa ,,,,,,na enjo .......ooy ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,imebakisasa mboso sambu mapenzi kwetu segere minawe twa lichezaga (segere) oooh baba (segere) mhhh yallah eti kama ungejua ya moyoni ikawa duniani mbaka twaingizwa peponi (chorus)