Ya Nini Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Ya Nini - Hamisa Mobetto
...
yanini- Hamisa mobeto
mmnh owaaa oooh mapenzi nala yananikondesha mie Sina Raha habadanii kila siku mtu wa kulia lia
mwenzako mvumilivu tena na vumilia si kidogo Mimi
status zako maumivu nkisoma kidogo pembeni hiwepo Panadol kwanini aaah mapenzi nusu ya ukichaa ndo kama hivi
nahugua mwenzako si hishi kukutaja taja umenipa nini...
yanini basi uniumize moyo na kama hunitaki rusa nipenii mie
yanini basi tulushane roho nakama hunitaki rusa nipeni mie.....
sometimes napiga simu hunajibu vile hnavyotaka meseji zako nusu nusu safi, poa jua hi ndo himetoka unaniweka kweny
nyongwe najiona sina bahati
sometimes nawaza pombe ninywe nikusahau hivi nani kanambiya nipende
mbona kwangu mapenzi ni mkosi
mpenzi wangu naomba chonde punguza madharau
aaah mapenzi nusu ya ukichaaa ndo kama hivi naugua mwenzako
sihishi kukutaja taja kwanini...
yanini basi uniumize moyo na kama hunitaki rusa nipeni
yanini basi tulushane roho kama unitaki rusa nipeni...