Unanicheki Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Unanicheki - Moji Shortbabaa
...
nahisi muda unasonga na mashida yanazidi kunikaba
nahisi muda unasonga na majirani wanapokea baraka
kwa sauti unanikumbusha huachi Wana wako
kwa sauti unanikumbusha we husahau neno lako
moyo wangu usikufe moyo wangu usikate tamaa
moyo wangu ujikaze moyo wangu usikate tamaa
ananiona kwa mapito yangu ananiona kwa machozi
na muda ukifika atatimiza ahadi zake
na muda ukifika atatimiza ahadi zake
unanicheki na muda wangu utafika
unanicheki na muda wangu utafika
moyo wangu usikate tamaa na muda wangu utafika×2
umesema nisimame imara utakuja na ishara
umesema nisimame imara na muda wangu nitangara
umesema niombe nisitete niachane wanicheke
umesema niombe nisitete niachane wanicheke
ukija utaniweka kiwango Cha juu
ukija utaniweka kiwango Cha juu
moyo wangu usikufe moyo wangu usikate tamaa×2
ananiona kwa mapito yangu ananiona kwa machozi
na muda ukifika atatimiza ahadi zake
na muda ukifika atatimiza ahadi zake
unanicheki na muda wangu utafika
unanicheki na muda wangu utafika
moyo wangu usikate tamaa na muda wangu utafika×2