Ni Wee ft. Timam Evans Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Ni Wee ft. Timam Evans - Moji Shortbabaa
...
eeh ti mam na shortibaba nipitapo katikati ya jangwa ni wewe natazamia ni wee hata nizungukwapo na kashfa usaidizi wangu hautoki Kwa mabanga ni wewe ngao yangu wewe ndio nanga wakati wa dhoruba