Wacha Wacheki Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Wacha Wacheki - Moji Shortbabaa
...
oh Nana Nana nanaa.. ..moji shot baba shot baba
chorus
wacha wacheeki.. wacha wacheki jionyeshe na mimi{×2}
Baba yooh Baba yoooyoh jionyeshe na mimi×2
verse 1
Baba bila weh sina mbele wala nyuma.. yeiyeeh
Baba bila weh maisha ngumu Kama chuma..yeiyeeh
Baba bila weh weh weh Mi machozi na kununa
so naja kwako eh kila wiki Kama skuma
umesema Baba sitaona aibuu {aibu}
ukasema Baba ya shetani utaharibu (haribu)
so nasema Baba kwangu uko karibu(karibu)
Jionyeshe Baba na jina lako libaki juu (baki juu)
Chorus
wacha wacheeki..wacha wacheki jionyeshe na mimi(×2)
Baba yooh Baba yooyoh.. jionyeshe na mimi(×2)
verse 2
Ata kabla kuingia..kwa hii dunia.. nitumie munyonyi
weh uliniwazia, ukanipangia, ata siku za usoni
so sina ujanja mimi ah.. sina ujuzi mimi ah.. sina ujanja mimi ah ..jionyeshe na mimi
wanatry wanatry wanatry kuniweka low low low low low...
lakini aiya iya iya iya yai.. Baba nakuknow know know know
so naomba naomba jionyeshe na mimi
Ndio wacheki eeh eeeh mbona Mi nakwamini
chorus
wacha wacheeki wacha wacheki.. jionyeshe na mimi(×2)
Baba yooh.. Baba yooyoh jionyeshe na mimi(×2)
................***............
Outro
Baaaba yoh baba yoh niruudishe
Baaaba yoh baba yoh jionyeshe
Baaaba yoh baba yoh jionyeshe
wacha wacheeki wacha wacheki ..jionyeshe na mim×2
Baba yooh baba yooyooh.. jionyeshe na mimi(×2)
.......**......