Mazuri ft. Guardian Angel Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Mazuri ft. Guardian Angel) - Moji Shortbabaa
...
moji n G. Angel
... Najua, najua, nitaona mazuri
Najua, najua nitaona mazuri
chorus
mazuri, mazuri , (ba) nitaona mazuri *2
verse 1- moji
masufuria zangu , lazima ziitapika nyama siku moja
na hii mikono yangu, lazima
iendeshe gari yangu siku moja
na hii miguu yangu, lazima
ikanyage ng'ambo siku moja
na majirani zangu lazima
wataniheshimu siku moja
verse 2 -Angel
kuna vile vitu zitakuwa better
one day, hata furaha ?one day
wazazi wa bibi wamepanga
holiday
life yangu iko dry, rafiki zangu nipende ayaiai
imani yangu isimame nitaona
mema sio hasara *2
verse 3- moji
hata kama (kama) mazuri yote
sitayaona hapa , najua najua
siku moja nitamwona baba *2
chorus
Najua, najua, nitaona mazuri
Najua, najua nitaona mazuri
mazuri, mazuri (ba) ,nitaona mazuri *2
verse 4- angel
maombi yangu anayasikia, nina
imani anatanisikia, walionicheka
na kunichukua watashinda
watashangilia *2
verse 5- moji
oh, na jina, akanibadilishia jina
na hekima oh anipe bila kupima
nina wale walionisaliti, nikae nao
viti hilo ndilo ombi langu,
ninao marafiki nipe wao fiti hilo
ndilo ombi langu
chorus
oh, mazuri, mazuri nitaonana
hey *2
najua, najua nitaona mazuri
*2
Mazuri, mazuri( ba) nitaona mazuri
*2
Najua, najua nitaona mazuri
*2
Mazuri, mazuri( ba) nitaona
mazuri
*2
mazuri eee , mazuri eee,
mazuri eee, mazuri eee
na nitaona, na nitaona... mazuri....