Nisamehe Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Nisamehe - Rich Mavoko
...
nipate pesa ninunue mapenzi ili yanipunguzie mawazooooo
mwenzenu nashindwaa kwelii
au ndio nachonga kinyagooo
ivi ulinitamani ulionena siaminii
yawatabiri yatimiee,eti mm kujilie
tuliopanga kwamoyo natena usinijuee
yanyuma Ulionionyesha ndio yalionifanya nizame kwakina na m kuku mgeni kilichoniponza kamba mguuni sinaa niking'ang'ania nipewe naweka kifaranga na mwewe siompaka nile ndio nikukumbuke ww
(nisamehe×3)
hatakosa sijajua badooo (nisamehe3)
hata kisa sikijui
nsichoamini ndani nimepanda sumu inanimaliza taratibu mi kwamba nsikaukumu