Naogopa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2019
Lyrics
Naogopa - Rich Mavoko
...
this is awesome
nipige guitar keyboard i will sing [?] niimbe tamu Melody [?] ukumbuke wee niforce nilipe kodi niishi na wee nimeridhika mtoto wewe maridhawa kiwa umo patashika chinji kagawa
ma nakuona unaingia chumbani unaingia chumbani nakuona unapanda kitandani yeaa×2
ma sweetie baby i miss you ooh umebeba moyo wangu i love you ooh ma sweetie baby i miss you unogesha kwa chachandu
ma sweetie baby oh (naogopa ugonjwa wa moyo huo ugonjwa wa moyo huo )×3
kukuacha taanza aje
aaah Salina mama salima