Nata Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Nata - Rich Mavoko
...
verse 1:
Nzi kufia kwenye kidonda si haramu,
Lengo isiwe fimboo, usiweke furaha kwa kivuli tu,
Hivi itakuwaje nitapetape na mwenye nacho upoo,
sitaki vita baridi nichimbe upendo bandia,
Nimeona mbali kwetu ni usiku wa kiza usiombee kwenye ukimya mshindo utokee, msiba wa wengi si kama sherehe tukiachana tufanye sherehe basi niamini mimi sumu fundo la roho
Chorus:
unajua nakupendaa, wee nataa
Basi unaringaa, wee nataa wee,
kunawengine wanatamani,wee nataa
watakuja kuzingaaa, we nataa wee
Verse 2:
Muosha husitiri Maiti,
Nakwenye siri unavonisalitii,
Mteuzii heshimu tamaa ushindwe majani ule nyamaa,
nimekubali nimeweka mikono juu siwezi siwezi wee,
Hatupimani ubavuu tushindane kwa makuu,
Nishaweka nemboo usigeuze Lengoo,
Msiba wa wengi si kama sherehe tukiachana tufanye sherehe basi niamini mimi sumu fundo la roho
Chorus:
unajua nakupendaa, wee nataa
Basi unaringaa, wee nataa wee,
kunawengine wanatamani,wee nataa
watakuja kuzingaaa, we nataa wee
Outro: We nataa weeee
we nata wee we nataa weee