Shuka Usitumane Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Shuka Usitumane - Moji Shortbabaa
...
(ooh) my, moji short baba, moji short baba,
nalia wuui, nalia wui, wui,wui
nalia wuui, nalia wui, wui,wui
(eeh) baba, shuka usitumane, shuka usitumane, (ee) baba, shuka usitumane, shuka usitumane
nyumba alifunga na stima akata, mtoto akafukuzwa shule na pia wakamchapa , nashindwa nitafanya nini, mawazo kwa akili, nashindwa nitafanya nini,
(ee ) baba mbona mimi ,
shuka usitumane (ee),ooh baba
shuka usitumane,
nalia wuui, nalia wui, wui,wui.
nalia wuui, nalia wui, wui,wui
(eeh) baba, shuka usitumane, shuka
usitumane, (ee) baba, shuka
usitumane, shuka usitumane
hivi manoma utateka away, juu zitanifunga kama take away, utashuka, utamake a way, ni wewe
natambua either way,
juu kila siku ni vipindi, shida zinanitafuna ka bigiji, so kwako
nalia ka kimkidi , najua unaniona ka kipindi, ulisema hata kitabu, tabu, tabu, niombe na utanisikia, uondoa hizi tabu, tabu, tabu ,najua umenisikia
nalia wuui, nalia wui, wui,wui.
nalia wuui, nalia wui, wui,wui.
(eeh) baba, shuka usitumane, shuka
usitumane, (ee) baba, shuka
usitumane, shuka usitumane
baaba,baaba (aaah) ,baaba, baba
shuka usitumane,
baaba,baaba (aaah) ,baaba, baba
shuka usitumane,
nalia wuui, nalia wui, wui,wui.
nalia wuui, nalia wui, wui,wui.
(eeh) baba, shuka usitumane, shuka usitumane, (ee) baba, shuka
usitumane, shuka usitumane
...