Sogea ft. Sani Boy Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Sogea ft. Sani Boy - Darassa
...
Ee Nikupe mgongo upande ujigambe gambe ndo unigande gande.
Na mapenzi kabambe monday to sunday ujilambe lambe.
Na fight nikuweke ndani wacha niwambe wambe ni kajichange change.
Na wakileta wapambe wasiku zonge zonge wakatie mapande.
Mwenzako nakupenda, nakununu, sogea nikupambe, sogea nikubusu×2
Kama mtu anakimbia ndani ti ti ndo sawa ni maha, Sina A wala B,C,D Gari nishaiweka park.
Natumia bodaboda yangu siti moja sitaki, aipakii mishikaki.
Sina root za wapi TEMEKE , ILALA , MBEZI halafu ilale MASAKI.
Kwanza mwachie nafasi, ajiachie nimwagie marks.
Sijui hata nianzie wapi kwa juu kwa chini , Ok ntaanzia kati.
Avae kishati cha pasi apanie gasi au avunje kabati.
Na mkia wa samaki akitembea mwendo utasema autaki.
Hi say Huuuu upewe nini nakwambia Guu wa kukanyagia peponi my dear.
Ashh huuu kama ananipania na nina**** na mbambia bambia.
Nampinda namdandia dandia, namlinda na washenzi wa tabiya.
Mpenzi wako umemshika mkononi watakuibia wangu nimemtulizaga moyoni katulia.
Mwenzako nakupenda, nakununu, sogea nikupambe, sogea nikubusu×2