Boss It ft Benpol Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Boss It ft Benpol - Darassa
...
Hujiliza kinyau nyau vipi
Nkupe mfupa unatamaa ya fisi
Na mademu wa kufunga kijiji
Mtu akiniita kimadharau siji
Voom voom honda kumbe sio honda
Kapanda bike ya miti kimeo
Kujifanya ninja kumbe sio ninja
Ujanja wa kuiga kwenye video
Wale mademu waloleta utajiju
Sisomi meseji zao sijibu
Walojifanya moto leo majivu
Bado wenye chuki wanakuja na wivu
Boss it! kwan shingapi
Give me this give me that
Boss it do you wanna know what happened?
If I say no, no discussion
Boss it, Boss it
Boss it, Boss it
Tulianza kama utani (Boss it)
Natumetokea gizani (Boss it)
Eeeh kama utani (Boss it)
Now we getting money now we are shinning
Keep calm keep calm
Drinks bills on me
Keep calm keep calm
Na break it down
Watu wanakwenda wanakwenda
Pass pass
Ronaldo na mpira chenga Kati
Unashangaa hedi imekua stranger basi
Don't play boy this is dangerous
Soko ya asubuhi niko juu ya anga
Nabishana na wachawi watoka kuwanga
Alafu nipigie unletee ushamba
Nakufunga wewe na aliyekupa namba
Boss it! kwan shingapi
Give me this give me that
Boss it do you wanna know what happened?
If I say no, no discussion
Boss it, Boss it
Boss it, Boss it
Tulianza kama utani (Boss it)
Natumetokea gizani (Boss it)
Eeeh kama utani (Boss it)
Now we getting money now we are shinning
Tulianza kama utani
Natumetokea gizani
Eeeh kama utani
Now we getting money now we are shinning