Sawa Lyrics
- Genre:Alté
- Year of Release:2019
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Sawa - Hamisa Mobetto
...
...
mmmmh
mmmm
mmmmm
babe mwinzio nilizama
Niliku penda vibaya
Ila babe wee kujali
ulini nifanya vibaya×2
oooh baba
mwenzako niliumwa
ulipa homa , ulinikaba
hata nilipo kufuma ulikoroma
tena baba nilichokipanda , sikukivuna
ulini kaba hata nilipo kufuma , ulinisukuma aaah
penzi gani kucheza na alingo ,usiku kucha kupeana mgongo
unataka baba nami ninywe gongo, tu nilewe ×2
sina maana tena kwako
sawa sawa eeeh sawa
naondoka zangu
sawa sawa eeeh sawa
ukinikumbuka
sawa sawa eeeh sawa
usinipo nikumbuka
sawa sawa eeeh sawa
mimi zamani niliona,wakilia
nikajua wanaongopa,
nimekua nimeona,
mapenzi yanatesa kinoma
jamani nimekoma eeh
tena mii naogopa
lisije rudi homa
nananananana
penzi gani kucheza na alingo ,usiku kucha kupeana mgongo
unataka baba nami ninywe gongo, tu nilewe ×2
sina maana tena kwako
sawa sawa eeeh sawa
naondoka zangu
sawa sawa eeeh sawa
ukinikumbuka
sawa sawa eeeh sawa
usinipo nikumbuka
sawa sawa eeeh sawa
........##..