Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2021

Lyrics

Nimesikia Sauti - Martha Mwaipaja

...

Ooooh hallelujah,nimesikia sauti nyingi hilio niponya ni ya yesu ,,,,nimeambiwa habari nyingi hilio nivusha ni ya yesu,nimesikia sauti sana Mimi iliyoninganga moyo ni ya yesu,nimeambiwa vitu vingi sana nilipoambiwa na yesu nikapona aaah,,,yesu nitumaini,mahali pamepotesa tumaini ,,nilipasa sauti ili watu wanielewe ,akanielewa masiya tu,nikajatibu kutetea watu wajue,ajaniambia nimekutetea mwangu,akaniuliza unamuusikiliza nani,nisikilize mwangu utapona ,akasema ondoa kusikiliza wengine ukinisikilisa mimi utaishi, nimesikia sauti, za watu wengi lakini ya yesu ikaniponya ,,,,yeeeeeh nimesikia sauti nyingi ,ikiniambia iliyoniponya ni ya yesu ,nimeponwa ,nimesikia sauti nyingi ,sauti ya yesu iliyoniponya ni ya yesu,,,aaaah , Asante yesu wangu, umeponya moyo wangu baba, ooooohh hallelujah,yesu wewe ni wa wote ,naomba baba sikwakila wengi, wengi wamekosa pakuelekea wakikusikia wewe watapona watapona ,wameambiwa hawataweza kabisa ,wakikusikia masiya wataweza ,wameambiwa hanatumaini,ukisika kwao wataishi,uliposika ,Israel walitoka Misiri,uliposika Goliath aliangushwa, uliposika jushua akasimamisha jua akasikikana kwa wengine wataishi, uliposika Elia alishusha moto , uliposika Daniel hakuliwa na Simba,sikika kwa wa Tanzania wote yesu , sikika kwa mataifa yote waishi, eeeeeehh , nimesikia sauti nyingi imeniponya,ni ya yesu ,ningeenda wapi

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status