Wewe ni Baba Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2009
Lyrics
Wewe ni Baba - Martha Mwaipaja
...
Nikitafakari jinsi Mungu alivyo nipenda mimi (Mara mbili)
Hata kunidhamini Mimi niliyekuwa nikidharauriwa na watu.
Kweli nimejua Mungu wangu yeye siye mwanadamu.
Kama hangekuwa mwanadamu singeona leo.